2 Samuel 12:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa wakusanye watu wote waliosalia, upige kambi kuuzunguka na kuuteka. La sivyo, nikiuteka, utaitwa kwa jina langu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa kusanya vikosi vilivyobaki na ukauzingire mji kwa jeshi na kuuteka. La sivyo, nitauteka mimi, nao utaitwa kwa jina langu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa kusanya watu waliobaki, ukauzunguke mji, na kuutwaa; nisije mimi nikautwaa mji, ukaitwe jina langu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa wakusanye watu wote waliosalia, upige kambi kuuzunguka na kuuteka. La sivyo, nikiuteka, utaitwa kwa jina langu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa kusanya vikosi vilivyobaki na ukauzingire mji kwa jeshi na kuuteka. La sivyo, nitauteka mimi, nao utaitwa kwa jina langu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa kusanya vikosi vilivyobaki na ukauzingire mji kwa jeshi na kuuteka. La sivyo, nitauteka mimi, nao utaitwa kwa jina langu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa kusanya watu waliobaki, ukauzunguke mji, na kuutwaa; nisije mimi nikautwaa mji, ukaitwe jina langu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa wakusanye watu wote waliosalia, upige kambi kuuzunguka na kuuteka. La sivyo, nikiuteka, utaitwa kwa jina langu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa wakusanye watu waliosalia, uuzinge mji huu, uuteke, nisiuteke mimi mji huu, jina langu likitangazwa humu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa kusanya watu waliobaki, ukauzunguke mji, na kuutwaa; nisije mimi nikautwaa mji, ukaitwe jina langu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa uwakusanye watu wote waliobaki, upige kambi kwa kuuzunguka na kuuteka. Kama sivyo, nikiuteka, utaitwa kwa jina langu.”