2 Samuel 12:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, Daudi akakusanya watu wote akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka mji huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Daudi akakusanya jeshi lote akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akawakusanya watu wote akaenda Raba, akapigana nao, akautwaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, Daudi akakusanya watu wote akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka mji huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Daudi akakusanya jeshi lote akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Daudi akakusanya jeshi lote akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akawakusanya watu wote akaenda Raba, akapigana nao, akautwaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, Daudi akakusanya watu wote akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka mji huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Dawidi alipowakusanya watu wote, akaenda nao Raba, akapiga vita huko, akauteka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akawakusanya watu wote akaenda Raba, akapigana nao, akautwaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, Daudi akakusanya watu wote, akaenda Raba, akaushambulia na kuuteka muji ule.