2 Samuel 12:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akachukua taji ya mfalme wao kutoka kichwani pake. Uzito wa taji hiyo ya dhahabu ulikuwa kilo thelathini na tano; na ndani yake mlikuwamo jiwe la thamani. Naye Daudi akavikwa taji hiyo kichwani pake. Pia aliteka idadi kubwa sana ya nyara katika mji huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akachukua taji kutoka kwa kichwa cha mfalme wao, lililokuwa na uzito wa talanta moja ya dhahabu, nalo lilizungushiwa vito vya thamani. Likawekwa juu ya kichwa cha Daudi. Alichukua nyara nyingi kutoka mjini huo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akamnyang'anya mfalme wao taji toka kichwani pake; na uzani wake ulikuwa talanta ya dhahabu, nayo ilikuwa na vito vya thamani ndani yake; akavikwa Daudi kichwani. Akazitoa nyara za huo mji, nyingi sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akachukua taji ya mfalme wao kutoka kichwani pake. Uzito wa taji hiyo ya dhahabu ulikuwa kilo thelathini na tano; na ndani yake mlikuwamo jiwe la thamani. Naye Daudi akavikwa taji hiyo kichwani pake. Pia aliteka idadi kubwa sana ya nyara katika mji huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatwaa taji kutoka kwenye kichwa cha mfalme wao, lililokuwa na uzito wa talanta ya dhahabu, nayo ilikuwa imewekewa vito vya thamani, nayo ikawekwa juu ya kichwa cha Daudi. Alichukua nyara nyingi kutoka mjini,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akachukua taji kutoka kwa kichwa cha mfalme wao, lililokuwa na uzito wa talanta moja ya dhahabu, nayo ilizungushiwa vito vya thamani. Ikawekwa juu ya kichwa cha Daudi. Alichukua nyara nyingi kutoka mjini huo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akamnyang'anya mfalme wao taji toka kichwani pake; na uzani wake ulikuwa talanta ya dhahabu, nalo lilikuwa na vito vya thamani ndani yake; akavikwa Daudi kichwani. Akazitoa nyara za huo mji, nyingi sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akachukua taji ya mfalme wao kutoka kichwani pake. Uzito wa taji hiyo ya dhahabu ulikuwa kilo thelathini na tano; na ndani yake mlikuwamo jiwe la thamani. Naye Daudi akavikwa taji hiyo kichwani pake. Pia aliteka idadi kubwa sana ya nyara katika mji huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaliondoa taji la mfalme kichwani pake, nao uzito wake ulikuwa frasila tatu za dhahabu, nalo lilikuwa na vito vyenye kima; hilo Dawidi akavikwa kichwani. Namo mjini akatoa mateka mengi sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akamnyang’anya mfalme wao taji toka kichwani pake; na uzani wake ulikuwa talanta ya dhahabu, nayo ilikuwa na vito vya thamani ndani yake; akavikwa Daudi kichwani. Akazitoa nyara za huo mji, nyingi sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akatwaa taji ya mufalme wao kutoka kwenye kichwa chake. Uzito wa taji hiyo ya zahabu ulikuwa kilo makumi tatu na tano; na ndani yake mulikuwa jiwe la bei kali. Naye Daudi akavalishwa taji hiyo kwenye kichwa chake. Vilevile aliteka vitu vingi sana katika muji ule.