2 Samuel 12:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi aliposikia hayo, akawaka hasira dhidi ya yule tajiri. Akamwambia nabii Nathani, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai kwamba mtu aliyefanya jambo hilo anastahili kufa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akawakwa na hasira dhidi ya mtu huyo tajiri na kumwambia Nathani, “Hakika kama Mwenyezi Mungu aishivyo, mtu huyo aliyefanya hivyo anastahili kufa!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo hasira ya Daudi ikawaka sana juu ya mtu yule; akamwambia Nathani, Aishivyo Bwana, mtu huyo aliyetenda jambo hili, hakika yake astahili kufa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi aliposikia hayo, akawaka hasira dhidi ya yule tajiri. Akamwambia nabii Nathani, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai kwamba mtu aliyefanya jambo hilo anastahili kufa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akawakwa na hasira dhidi ya mtu huyo tajiri na kumwambia Nathani, “Hakika kama BWANA aishivyo, mtu huyo aliyefanya hivyo anastahili kufa!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akawakwa na hasira dhidi ya mtu huyo tajiri na kumwambia Nathani, “Hakika kama bwana aishivyo, mtu huyo aliyefanya hivyo anastahili kufa!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo hasira ya Daudi ikawaka sana juu ya mtu yule; akamwambia Nathani, Aishivyo BWANA, mtu huyo aliyetenda jambo hili, hakika yake astahili kufa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi aliposikia hayo, akawaka hasira dhidi ya yule tajiri. Akamwambia nabii Nathani, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai kwamba mtu aliyefanya jambo hilo anastahili kufa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, makali ya Dawidi yalipowaka moto sana kwa ajili ya mtu huyo, akamwambia Natani: Hivyo, Bwana alivyo Mwenye uzima, mtu aliyeyafaya hayo ni mtu wa kufa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo hasira ya Daudi ikawaka sana juu ya mtu yule; akamwambia Nathani, Aishivyo BWANA, mtu huyo aliyetenda jambo hili, hakika yake astahili kufa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi aliposikia hayo, akawaka hasira juu ya yule tajiri. Akamwambia nabii Natani: “Kama vile Yawe anavyoishi, mutu aliyefanya jambo hilo anastahili kufa!