2 Samuel 12:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni lazima amlipe yule maskini mwanakondoo huyo, tena mara nne, kwani ametenda jambo baya na hakuwa na huruma!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lazima alipe mara nne zaidi, kwa ajili ya kondoo huyo, kwa sababu amefanya jambo kama hilo na hakuwa na huruma.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye atamrudishia yule mwana-kondoo mara nne, kwa sababu ametenda neno hili, na kwa sababu hakuwa na huruma.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni lazima amlipe yule maskini mwanakondoo huyo, tena mara nne, kwani ametenda jambo baya na hakuwa na huruma!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lazima alipe mara nne zaidi, kwa ajili ya kondoo huyo, kwa sababu amefanya jambo kama hilo na hakuwa na huruma.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lazima alipe mara nne zaidi, kwa ajili ya kondoo huyo, kwa sababu amefanya jambo kama hilo na hakuwa na huruma.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye atamrudishia yule mwana-kondoo mara nne, kwa sababu ametenda neno hili, na kwa sababu hakuwa na huruma.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni lazima amlipe yule maskini mwanakondoo huyo, tena mara nne, kwani ametenda jambo baya na hakuwa na huruma!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kile kikondoo nacho sharti akilipe mara nne, kwa kuwa amefanya jambo kama hilo pasipo kuona huruma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye atamrudishia yule mwana-kondoo mara nne, kwa sababu ametenda neno hili, na kwa sababu hakuwa na huruma.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye anapaswa kumurudishia yule masikini mwana-kondoo yule, tena mara ine, maana ametenda jambo baya na hakukuwa na huruma!”