2 Samuel 13:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tamari akamwambia, “Sivyo, kaka yangu, usinilazimishe. Kitendo hiki hakifanyiki katika Israeli. Usifanye kitendo hiki cha kipumbavu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwambia, “Usifanye hivyo, ndugu yangu! Usinitende jeuri! Jambo la namna hii halistahili kufanyika katika Israeli! Usitende jambo hili ovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akamjibu, La, sivyo, ndugu yangu, usinitenze nguvu; kwani haifai kutendeka hivi katika Israeli; usitende upumbavu huu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tamari akamwambia, “Sivyo, kaka yangu, usinilazimishe. Kitendo hiki hakifanyiki katika Israeli. Usifanye kitendo hiki cha kipumbavu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwambia, “Usifanye hivyo, ndugu yangu! Usinitende jeuri! Jambo la namna hii halistahili kufanyika katika Israeli! Usitende jambo hili ovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwambia, “Usifanye hivyo, ndugu yangu! Usinitende jeuri! Jambo la namna hii halistahili kufanyika katika Israeli! Usitende jambo hili ovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akamjibu, La, sivyo, ndugu yangu, usinilazimishe; kwani haifai kutendeka hivi katika Israeli; usitende upumbavu huu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tamari akamwambia, “Sivyo, kaka yangu, usinilazimishe. Kitendo hiki hakifanyiki katika Israeli. Usifanye kitendo hiki cha kipumbavu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini akamwambia: Sivyo, umbu langu, usinichukue kwa nguvu. Kwani mambo kama hayo hayafanywi kwao Waisiraeli, nawe usiufanye upumbavu huu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akamjibu, La, sivyo, ndugu yangu, usinitenze nguvu; kwani haifai kutendeka hivi katika Israeli; usitende upumbavu huu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tamari akamwambia: “Sivyo, kaka yangu, usinilazimishe. Kitendo hiki hakifanyiki katika Israeli. Usifanye kitendo hiki cha kipumbafu.