2 Samuel 13:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Tamari alijipaka majivu kichwani, akalipasua vazi lake, akaweka mikono yake kichwani, halafu akaondoka huku analia kwa sauti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tamari akajitia majivu kichwani mwake na kurarua lile joho alilokuwa amevaa. Akaweka mkono wake kichwani, akaenda zake akilia kwa sauti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Tamari akatia majivu kichwani mwake, akairarua hiyo kanzu ndefu yake aliyoivaa, akaweka mkono kichwani akaenda zake huku akilia kwa sauti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Tamari alijipaka majivu kichwani, akalipasua vazi lake, akaweka mikono yake kichwani, halafu akaondoka huku analia kwa sauti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tamari akajitia majivu kichwani mwake na kurarua lile joho alilokuwa amevaa. Akaweka mkono wake kichwani akaenda zake akilia kwa sauti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tamari akajitia majivu kichwani mwake na kurarua lile joho alilokuwa amevaa. Akaweka mkono wake kichwani, akaenda zake akilia kwa sauti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Tamari akatia majivu kichwani mwake, akairarua hiyo kanzu yake ndefu aliyoivaa, akaweka mkono kichwani akaenda zake huku akilia kwa sauti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Tamari alijipaka majivu kichwani, akalipasua vazi lake, akaweka mikono yake kichwani, halafu akaondoka huku analia kwa sauti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tamari akachukua uvumbi, akautia kichwani pake, akalirarua lile rinda la nguo za rangi, alilokuwa amelivaa, akabandika mkono kichwani pake, akaenda zake na kulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Tamari akatia majivu kichwani mwake, akairarua hiyo kanzu ndefu yake aliyoivaa, akaweka mkono kichwani akaenda zake huku akilia kwa sauti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Tamari alijipakaa majivu kwenye kichwa, akapasua kanzu yake, akaweka mikono yake juu ya kichwa, halafu akaondoka akiwa analia kwa sauti.