2 Samuel 13:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Absalomu alimwendea mfalme Daudi, akamwambia, “Tazama, mimi mtumishi wako ninao wakata-kondoo manyoya. Nakuomba wewe mfalme pamoja na watumishi wako, mwende pamoja nami, mtumishi wako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Absalomu akaenda kwa mfalme na kumwambia, “Mtumishi wako ninao wakata manyoya ya kondoo waliokuja. Tafadhali, je, mfalme na maafisa wake wanaweza kuungana nami?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Absalomu akamjia mfalme, akasema, Tazama sasa, mimi mtumwa wako ninao wakata manyoya ya kondoo; basi mfalme na aende, nakusihi, na watumishi wake pamoja nami mtumwa wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Absalomu alimwendea mfalme Daudi, akamwambia, “Tazama, mimi mtumishi wako ninao wakata-kondoo manyoya. Nakuomba wewe mfalme pamoja na watumishi wako, mwende pamoja nami, mtumishi wako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Absalomu akaenda kwa mfalme na kumwambia, “Mtumishi wako ninao wakata kondoo manyoya waliokuja. Tafadhali, je, mfalme na maafisa wake wanaweza kuungana nami?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Absalomu akaenda kwa mfalme na kumwambia, “Mtumishi wako ninao wakata manyoya ya kondoo waliokuja. Tafadhali, je, mfalme na maafisa wake wanaweza kuungana nami?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Absalomu akamjia mfalme, akasema, Tazama sasa, mimi mtumishi wako ninao wakata manyoya ya kondoo; basi mfalme na aende, nakusihi, na watumishi wake pamoja nami mtumishi wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Absalomu alimwendea mfalme Daudi, akamwambia, “Tazama, mimi mtumishi wako ninao wakata-kondoo manyoya. Nakuomba wewe mfalme pamoja na watumishi wako, mwende pamoja nami, mtumishi wako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abisalomu akaja hata kwa mfalme, akamwambia: Tazama, wako wenye kukata manyoya ya kondoo kwa mtumishi wako, mfalme naye na aje pamoja na watumishi wake kwa mtumishi wako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Absalomu akamjia mfalme, akasema, Tazama sasa, mimi mtumwa wako ninao wakata manyoya ya kondoo; basi mfalme na aende, nakusihi, na watumishi wake pamoja nami mtumwa wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abusaloma alimwendea mufalme Daudi, akamwambia: “Angalia, mimi mutumishi wako ninawakata kondoo manyoya. Ninakuomba wewe mufalme pamoja na watumishi wako, muende pamoja nami, mutumishi wako.”