2 Samuel 13:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu, Absalomu akamwambia, “Kama huendi, basi, mruhusu ndugu yangu Amnoni twende naye.” Mfalme akamjibu, “Lakini kwa nini aende pamoja nanyi?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Absalomu akasema, “Kama hutakuja, tafadhali mruhusu ndugu yangu Amnoni twende pamoja naye.” Mfalme akamuuliza, “Kwa nini aende pamoja nawe?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo akasema Absalomu, Kwamba huji, nakusihi, mwache ndugu yangu Amnoni aende nasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu, Absalomu akamwambia, “Kama huendi, basi, mruhusu ndugu yangu Amnoni twende naye.” Mfalme akamjibu, “Lakini kwa nini aende pamoja nanyi?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Absalomu akasema, “Kama hutakuja, tafadhali mruhusu ndugu yangu Amnoni twende pamoja naye.” Mfalme akamwuliza, “Kwa nini aende pamoja nawe?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Absalomu akasema, “Kama hutakuja, tafadhali mruhusu ndugu yangu Amnoni twende pamoja naye.” Mfalme akamuuliza, “Kwa nini aende pamoja nawe?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo akasema Absalomu, Kama huji, nakusihi, mwache ndugu yangu Amnoni aende nasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu, Absalomu akamwambia, “Kama huendi, basi, mruhusu ndugu yangu Amnoni twende naye.” Mfalme akamjibu, “Lakini kwa nini aende pamoja nanyi?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abisalomu akamwambia: Kama huji, ndugu yangu Amunoni na aende na sisi. Mfalme akamwuliza: Unamtakia nini kwenda na wewe?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo akasema Absalomu, Kwamba huji, nakusihi, mwache ndugu yangu Amnoni aende nasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu, Abusaloma akamwambia: “Kama hauendi, basi, umuruhusu ndugu yangu Amunoni tuende naye.” Mufalme akamujibu: “Lakini kwa nini aende pamoja nanyi?”