2 Samuel 13:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipokuwa bado njiani, Daudi alipata habari kuwa Absalomu amewaua watoto wake wote hakuna hata mmoja aliyesalia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakiwa njiani, taarifa ilimjia Daudi, kusema: “Absalomu amewaua wana wote wa mfalme; hakuna hata mmoja aliyesalia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, walipokuwa njiani, habari zikamwasilia Daudi, kusema, Absalomu amewaua wana wote wa mfalme, wala hata mmoja wao hakusalia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipokuwa bado njiani, Daudi alipata habari kuwa Absalomu amewaua watoto wake wote hakuna hata mmoja aliyesalia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wakiwa njiani, taarifa ilimjia Daudi, kusema: “Absalomu amewaua wana wote wa mfalme; hakuna hata mmoja aliyesalia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wakiwa njiani, taarifa ilimjia Daudi, kusema: “Absalomu amewaua wana wote wa mfalme; hakuna hata mmoja aliyesalia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, walipokuwa njiani, habari zikamfikia Daudi, kusema, Absalomu amewaua wana wote wa mfalme, wala hata mmoja wao hakusalia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipokuwa bado njiani, Daudi alipata habari kuwa Absalomu amewaua watoto wake wote hakuna hata mmoja aliyesalia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao walipokuwa njiani, Dawidi akapata habari kwamba: Abisalomu amewaua wana wote wa mfalme, asisalie kwao hata mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, walipokuwa njiani, habari zikamwasilia Daudi, kusema, Absalomu amewaua wana wote wa mfalme, wala hata mmoja wao hakusalia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipokuwa wangali katika njia, Daudi alipata habari kwamba Abusaloma amewaua watoto wake wote hakuna hata mumoja aliyebakia.