2 Samuel 13:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yonadabu akamwambia Daudi, “Tazama mfalme, wanao wanakuja kama nilivyokuambia mimi mtumishi wako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yonadabu akamwambia mfalme, “Tazama, wana wa mfalme wako hapa; imekuwa kama vile mtumishi wako alivyosema.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Yonadabu akamwambia mfalme, Tazama, wana wa mfalme wamekuja; kama mimi mtumwa wako nilivyosema, ndivyo ilivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yonadabu akamwambia Daudi, “Tazama mfalme, wanao wanakuja kama nilivyokuambia mimi mtumishi wako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yonadabu akamwambia mfalme, “Tazama, wana wa mfalme wako hapa; imekuwa kama vile mtumishi wako alivyosema.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yonadabu akamwambia mfalme, “Tazama, wana wa mfalme wako hapa; imekuwa kama vile mtumishi wako alivyosema.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Yonadabu akamwambia mfalme, Tazama, wana wa mfalme wamekuja; kama mimi mtumishi wako nilivyosema, ndivyo ilivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yonadabu akamwambia Daudi, “Tazama mfalme, wanao wanakuja kama nilivyokuambia mimi mtumishi wako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yonadabu alipomwambia mfalme: Tazama, wana wa mfalme wanakuja! Kama mtumishi wako alivyosema, ndivyo, inavyokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Yonadabu akamwambia mfalme, Tazama, wana wa mfalme wamekuja; kama mimi mtumwa wako nilivyosema, ndivyo ilivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yonadabu akamwambia Daudi: “Angalia mufalme, wana wako wanakuja kama nilivyokuambia mimi mutumishi wako.”