2 Samuel 13:38 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Absalomu alikimbilia mjini Geshuri, akakaa huko kwa muda wa miaka mitatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Absalomu kukimbia na kwenda Geshuri, akakaa huko miaka mitatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Absalomu akakimbia, akaenda Geshuri, akakaa huko muda wa miaka mitatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Absalomu alikimbilia mjini Geshuri, akakaa huko kwa muda wa miaka mitatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Absalomu kukimbia na kwenda Geshuri, akakaa huko miaka mitatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Absalomu kukimbia na kwenda Geshuri, akakaa huko miaka mitatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Absalomu akakimbia, akaenda Geshuri, akakaa huko muda wa miaka mitatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Absalomu alikimbilia mjini Geshuri, akakaa huko kwa muda wa miaka mitatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Abisalomu akakaa miaka mitatu kule Gesuri, alikokwenda kwa kukukimbilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Absalomu akakimbia, akaenda Geshuri, akakaa huko muda wa miaka mitatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abusaloma alikimbilia Gesuri, akakaa kule kwa muda wa miaka mitatu.