2 Samuel 13:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tamari alikwenda huko, akamkuta Amnoni amelala. Akachukua unga, akaukanda, na kuoka mikate mbele ya Amnoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Tamari akaenda nyumbani mwa nduguye Amnoni, ndugu aliyekuwa amelala. Tamari akachukua unga uliotiwa chachu akaukanda, akaiandaa mikate mbele yake na kuioka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaenda Tamari nyumbani kwa nduguye Amnoni; naye alikuwa amelala. Akachukua unga, akaukanda, akaiandaa mikate machoni pake, akaioka mikate.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tamari alikwenda huko, akamkuta Amnoni amelala. Akachukua unga, akaukanda, na kuoka mikate mbele ya Amnoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Tamari akaenda nyumbani kwa nduguye Amnoni, ndugu ambaye alikuwa amelala. Tamari akachukua unga uliotiwa hamira akaukanda, akaiandaa mikate mbele yake na kuioka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Tamari akaenda nyumbani kwa nduguye Amnoni, ndugu ambaye alikuwa amelala. Tamari akachukua unga uliotiwa chachu akaukanda, akaiandaa mikate mbele yake na kuioka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaenda Tamari nyumbani kwa nduguye Amnoni; naye alikuwa amelala. Akachukua unga, akaukanda, akaiandaa mikate machoni pake, akaioka mikate.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tamari alikwenda huko, akamkuta Amnoni amelala. Akachukua unga, akaukanda, na kuoka mikate mbele ya Amnoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Tamari alipokwenda nyumbani mwa umbu lake Amunoni, naye alikuwa amelala; akachukua unga, akaukanda, akautengeneza machoni pake kuwa vikate, akavioka hivyo vikate.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaenda Tamari nyumbani kwa nduguye Amnoni; naye alikuwa amelala. Akachukua unga, akaukanda, akaiandaa mikate machoni pake, akaioka mikate.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tamari alikwenda kule, akamukuta amelala. Akatwaa unga, akauponda, na kutengeneza mikate mbele ya Amunoni.