2 Samuel 13:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mikate hiyo ilipokuwa tayari, Tamari akaiopoa kutoka kikaangoni. Akampelekea Amnoni, lakini Amnoni alikataa kula, akasema kila mmoja na atolewe nje, na wote wakaondoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tamari akaondoa mikate kwenye kikaango ili ampatie Amnoni, lakini akakataa kula. Amnoni akamwambia, “Mtoe nje kila mtu aliye hapa.” Kwa hiyo kila mmoja akaondoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akalitwaa kaango, akaisongeza mbele yake; lakini alikataa kula. Naye Amnoni akasema, Toeni watu wote kwangu. Wakatoka kila mtu kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mikate hiyo ilipokuwa tayari, Tamari akaiopoa kutoka kikaangoni. Akampelekea Amnoni, lakini Amnoni alikataa kula, akasema kila mmoja na atolewe nje, na wote wakaondoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tamari akaondoa mikate kwenye kikaango ili ampatie Amnoni, lakini akakataa kula. Amnoni akamwambia, “Mtoe nje kila mtu aliyeko hapa.” Kwa hiyo kila mmoja akaondoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tamari akaondoa mikate kwenye kikaango ili ampatie Amnoni, lakini akakataa kula. Amnoni akamwambia, “Mtoe nje kila mtu aliyeko hapa.” Kwa hiyo kila mmoja akaondoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akalitwaa kaango, akaisongeza mbele yake; lakini alikataa kula. Naye Amnoni akasema, Toeni watu wote kwangu. Ndipo watu wote wakaondoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mikate hiyo ilipokuwa tayari, Tamari akaiopoa kutoka kikaangoni. Akampelekea Amnoni, lakini Amnoni alikataa kula, akasema kila mmoja na atolewe nje, na wote wakaondoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akakichukua kikaango, akavitia katika sahani machoni pake, lakini Amunoni akakataa kuvila, akasema: Watoeni watu wote humu mwangu! Walipokwisha kuwatoa watu wote mwake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akalitwaa kaango, akaisongeza mbele yake; lakini alikataa kula. Naye Amnoni akasema, Toeni watu wote kwangu. Wakatoka kila mtu kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mikate hiyo ilipokuwa tayari, Tamari akaiopoa kutoka kikaango. Akamupelekea Amunoni, lakini Amunoni alikataa kula, akaamuru kwamba watu wote watoke inje, na wote wakaondoka.