2 Samuel 14:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoabu mwana wa Seruya, alitambua kwamba maelekeo ya moyo wa Daudi yalikuwa kwa Absalomu tu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoabu mwana wa Seruya akafahamu kuwa moyo wa mfalme ulikuwa na shauku ya kumwona Absalomu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yoabu, mwana wa Seruya, akatambua ya kuwa moyo wa mfalme unamwelekea Absalomu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoabu mwana wa Seruya, alitambua kwamba maelekeo ya moyo wa Daudi yalikuwa kwa Absalomu tu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoabu mwana wa Seruya akafahamu kuwa moyo wa mfalme ulikuwa na shauku ya kumwona Absalomu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoabu mwana wa Seruya akafahamu kuwa moyo wa mfalme ulikuwa na shauku ya kumwona Absalomu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yoabu, mwana wa Seruya, akatambua ya kuwa moyo wa mfalme unamwelekea Absalomu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoabu mwana wa Seruya, alitambua kwamba maelekeo ya moyo wa Daudi yalikuwa kwa Absalomu tu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yoabu, mwana wa Seruya, alipotambua, ya kuwa moyo wa mfalme umerudi kumwelekea Abisalomu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yoabu, mwana wa Seruya, akatambua ya kuwa moyo wa mfalme unamwelekea Absalomu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoabu mwana wa Zeruya alitambua kwamba moyo wa Daudi ulikuwa unamwelekea Abusaloma tu.