2 Samuel 14:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme akamwambia, “Mtu yeyote akikutishia mlete kwangu na hatakuja kukugusa tena.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme akajibu, “Ikiwa mtu yeyote atakusemesha lolote, mlete kwangu, naye hatakusumbua tena.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme akasema, Ye yote atakaye kuambia neno, mlete kwangu, naye hatakugusa tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme akamwambia, “Mtu yeyote akikutishia mlete kwangu na hatakuja kukugusa tena.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme akajibu, “Ikiwa mtu ye yote atakusemesha lo lote, mlete kwangu, naye hatakusumbua tena.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme akajibu, “Ikiwa mtu yeyote atakusemesha lolote, mlete kwangu, naye hatakusumbua tena.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme akasema, Yeyote atakaye kuambia neno, mlete kwangu, naye hatakugusa tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme akamwambia, “Mtu yeyote akikutishia mlete kwangu na hatakuja kukugusa tena.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme akamwambia: Atakayekutakia kitu mlete kwangu, asiendelee kukugusa tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme akasema, Ye yote atakaye kuambia neno, mlete kwangu, naye hatakugusa tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme akamwambia: “Mutu yeyote akikuchokoza umulete kwangu na hatakuja kukugusa tena.”