2 Samuel 14:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nimekuja kuzungumza nawe, bwana wangu mfalme, kwani wamenitisha. Basi, mimi mtumishi wako, niliwaza kuwa, ‘Afadhali nikazungumze na mfalme, huenda akanitimizia mahitaji yangu mimi mtumishi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nami sasa nimekuja kusema hili kwa bwana wangu mfalme kwa sababu watu wameniogopesha. Mtumishi wako alifikiri, ‘Nitanena na mfalme, labda mfalme atamfanyia mtumishi wake kile anachoomba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata sasa nilivyokuja mimi kunena neno hili na bwana wangu mfalme, ni kwa sababu watu wamenitisha; nami, mjakazi wako, nikasema, Mimi nitanena sasa kwa mfalme; labda itakuwa mfalme atanifanyia haja yangu mimi mtumwa wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nimekuja kuzungumza nawe, bwana wangu mfalme, kwani wamenitisha. Basi, mimi mtumishi wako, niliwaza kuwa, ‘Afadhali nikazungumze na mfalme, huenda akanitimizia mahitaji yangu mimi mtumishi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nami sasa nimekuja kusema hili kwa bwana wangu mfalme kwa sababu watu wameniogopesha. Mtumishi wako alifikiri, ‘Nitanena na mfalme, labda mfalme atamfanyia mtumishi wake kile anachoomba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nami sasa nimekuja kusema hili kwa bwana wangu mfalme kwa sababu watu wameniogopesha. Mtumishi wako alifikiri, ‘Nitanena na mfalme, labda mfalme atamfanyia mtumishi wake kile anachoomba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata sasa nilivyokuja mimi kunena neno hili na bwana wangu mfalme, ni kwa sababu watu wamenitisha; nami, mjakazi wako, nikasema, Mimi nitanena sasa kwa mfalme; labda itakuwa mfalme atanifanyia haja yangu mimi mtumishi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nimekuja kuzungumza nawe, bwana wangu mfalme, kwani wamenitisha. Basi, mimi mtumishi wako, niliwaza kuwa, ‘Afadhali nikazungumze na mfalme, huenda akanitimizia mahitaji yangu mimi mtumishi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa nimefika kumwambia bwana wangu mfalme neno hili, kwa kuwa watu wamenitisha. Kwa hiyo kijakazi wako alisema: Na nimwambie mfalme, labda mfalme atalifanya neno la kijakazi wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata sasa nilivyokuja mimi kunena neno hili na bwana wangu mfalme, ni kwa sababu watu wamenitisha; nami, mjakazi wako, nikasema, Mimi nitanena sasa kwa mfalme; labda itakuwa mfalme atanifanyia haja yangu mimi mtumwa wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nimekuja kuzungumuza nawe, bwana wangu mufalme, maana wamenitisha. Basi, mimi mujakazi wako, niliwaza kwamba ni afazali nizungumuze na mufalme, labda atanitimizia mahitaji yangu mimi mujakazi wake.