2 Samuel 14:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo mfalme alipomjibu yule mwanamke, “Usinifiche jambo lolote nitakalokuuliza.” Yule mwanamke akasema, “Sema bwana wangu mfalme.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi mfalme akamwambia huyo mwanamke, “Usinifiche jibu la kile nitakalokuuliza.” Huyo mwanamke akasema, “Mfalme bwana wangu na aseme.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo mfalme akajibu, akamwambia yule mwanamke, usinifiche, nakusihi, neno lo lote nitakalokuuliza. Na mwanamke akasema, Na anene sasa bwana wangu mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo mfalme alipomjibu yule mwanamke, “Usinifiche jambo lolote nitakalokuuliza.” Yule mwanamke akasema, “Sema bwana wangu mfalme.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi mfalme akamwambia huyo mwanamke, “Usinifiche jibu kuhusu hilo nitakalokuuliza.” Huyo mwanamke akasema, “Mfalme bwana wangu na aseme.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi mfalme akamwambia huyo mwanamke, “Usinifiche jibu kuhusu hilo nitakalokuuliza.” Huyo mwanamke akasema, “Mfalme bwana wangu na aseme.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo mfalme akajibu, akamwambia yule mwanamke, usinifiche, nakusihi, neno lolote nitakalokuuliza. Na mwanamke akasema, Na anene sasa bwana wangu mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo mfalme alipomjibu yule mwanamke, “Usinifiche jambo lolote nitakalokuuliza.” Yule mwanamke akasema, “Sema bwana wangu mfalme.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme akajibu na kumwambia huyu mwanamke: Usinifiche kabisa, nitakalokuuliza! Huyu mwanamke akasema: Bwana wangu mfalme na aseme!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo mfalme akajibu, akamwambia yule mwanamke, usinifiche, nakusihi, neno lo lote nitakalokuuliza. Na mwanamke akasema, Na anene sasa bwana wangu mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu mufalme akamujibu yule mwanamuke: “Usinifiche jambo lolote nitakalokuuliza.” Yule mwanamuke akasema: “Sema bwana wangu mufalme.”