2 Samuel 14:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoabu alifanya hivyo ili kubadilisha mambo. Lakini, wewe bwana wangu, una hekima kama ya malaika wa Mungu hata unaweza kujua mambo yote yaliyoko duniani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtumishi wako Yoabu amefanya hivi ili kubadili hali iliyopo. Bwana wangu ana hekima kama ile ya malaika wa Mungu, anafahamu kila kitu kinachotokea katika nchi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mtumwa wako Yoabu ameyatenda haya ili kubadili uso wa jambo hili; na bwana wangu anayo akili, kama akili ya malaika wa Mungu, hata ajue mambo yote ya duniani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoabu alifanya hivyo ili kubadilisha mambo. Lakini, wewe bwana wangu, una hekima kama ya malaika wa Mungu hata unaweza kujua mambo yote yaliyoko duniani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtumishi wako Yaobu amefanya hivi ili kubadili hali iliyopo. Bwana wangu ana hekima kama ile ya malaika wa Mungu, hufahamu kila kitu kinachotokea katika nchi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtumishi wako Yoabu amefanya hivi ili kubadili hali iliyopo. Bwana wangu ana hekima kama ile ya malaika wa Mungu, hufahamu kila kitu kinachotokea katika nchi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mtumishi wako Yoabu ameyatenda haya ili kubadili uso wa jambo hili; na bwana wangu anayo akili, kama akili ya malaika wa Mungu, hata ajue mambo yote ya duniani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoabu alifanya hivyo ili kubadilisha mambo. Lakini, wewe bwana wangu, una hekima kama ya malaika wa Mungu hata unaweza kujua mambo yote yaliyoko duniani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kutaka kuligeuza jambo hili, upande wake mwingine uonekane, mtumishi wako Yoabu amelifanya hili neno, naye bwana wangu anao werevu wa kweli ulio kama werevu wa malaika wa Mungu wa kuyajua yote yaliyopo nchini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mtumwa wako Yoabu ameyatenda haya ili kubadili uso wa jambo hili; na bwana wangu anayo akili, kama akili ya malaika wa Mungu, hata ajue mambo yote ya duniani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoabu alifanya hivyo kwa kubadilisha mambo. Lakini, wewe bwana wangu, una hekima kama ya malaika wa Mungu hata unaweza kujua mambo yote yanayokuwa katika dunia.”