2 Samuel 14:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Absalomu alizaa watoto watatu wa kiume pamoja na binti mmoja jina lake Tamari. Tamari alikuwa mwanamke mzuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walizaliwa wana watatu na binti mmoja kwa Absalomu. Jina la binti yake aliitwa Tamari, naye akawa mwanamke mzuri wa sura.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha wakazaliwa kwake Absalomu wana watatu na binti mmoja, ambaye jina lake aliitwa Tamari; naye alikuwa mwanamke mzuri wa uso.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Absalomu alizaa watoto watatu wa kiume pamoja na binti mmoja jina lake Tamari. Tamari alikuwa mwanamke mzuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walizaliwa wana watatu na binti mmoja kwa Absalomu. Jina la binti yake aliitwa Tamari, naye akawa mwanamke mzuri wa sura.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walizaliwa wana watatu na binti mmoja kwa Absalomu. Jina la binti yake aliitwa Tamari, naye akawa mwanamke mzuri wa sura.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha wakazaliwa kwake Absalomu wana watatu na binti mmoja, ambaye jina lake aliitwa Tamari; naye alikuwa mwanamke mzuri wa uso.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Absalomu alizaa watoto watatu wa kiume pamoja na binti mmoja jina lake Tamari. Tamari alikuwa mwanamke mzuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha kwake Abisalomu wakazaliwa wana wa kiume watatu na wa kike mmoja, jina lake Tamari; naye alikuwa mwanamke mwenye sura nzuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha wakazaliwa kwake Absalomu wana watatu na binti mmoja, ambaye jina lake aliitwa Tamari; naye alikuwa mwanamke mzuri wa uso.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abusaloma alizaa watoto watatu wanaume pamoja na binti mumoja jina lake Tamari. Tamari alikuwa na sura nzuri.