2 Samuel 14:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Absalomu aliishi mjini Yerusalemu kwa muda wa miaka miwili mizima bila kumwona mfalme Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Absalomu akaishi miaka miwili huko Yerusalemu pasipo kuuona uso wa mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Absalomu akakaa miaka miwili mizima katika Yerusalemu; asimwone uso mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Absalomu aliishi mjini Yerusalemu kwa muda wa miaka miwili mizima bila kumwona mfalme Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Absalomu akaishi miaka miwili huko Yerusalemu pasipo kuuona uso wa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Absalomu akaishi miaka miwili huko Yerusalemu pasipo kuuona uso wa mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Absalomu akakaa miaka miwili mizima katika Yerusalemu; asimwone uso mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Absalomu aliishi mjini Yerusalemu kwa muda wa miaka miwili mizima bila kumwona mfalme Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abisalomu alipokaa Yerusalemu miaka miwili pasipo kuonana na mfalme uso kwa uso,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Absalomu akakaa miaka miwili mizima katika Yerusalemu; asimwone uso mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Abusaloma aliishi Yerusalema kwa muda wa miaka miwili mizima bila kumwona mufalme Daudi.