2 Samuel 14:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu nenda kwa mfalme ukamwambie yale ninayokuambia.” Kisha Yoabu akamwambia maneno ya kumwambia mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha nenda kwa mfalme ukazungumze maneno haya.” Naye Yoabu akaweka maneno kinywani mwa yule mwanamke.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha uingie kwa mfalme ukamwambie maneno haya. Hivyo Yoabu akamtia maneno kinywani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu nenda kwa mfalme ukamwambie yale ninayokuambia.” Kisha Yoabu akamwambia maneno ya kumwambia mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha nenda kwa mfalme ukazungumze maneno haya.” Naye Yaobu akaweka maneno kinywani mwa yule mwanamke.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha nenda kwa mfalme ukazungumze maneno haya.” Naye Yoabu akaweka maneno kinywani mwa yule mwanamke.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha uingie kwa mfalme ukamwambie maneno haya. Hivyo Yoabu akamtia maneno kinywani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu nenda kwa mfalme ukamwambie yale ninayokuambia.” Kisha Yoabu akamwambia maneno ya kumwambia mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha uende kwa mfalme, mwambie maneno kama haya! Naye Yoabu akamwambia, atakayoyasema na kinywa chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha uingie kwa mfalme ukamwambie maneno haya. Hivyo Yoabu akamtia maneno kinywani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu uende kwa mufalme umwambie yale ninayokuambia.” Kisha Yoabu akamwambia maneno ya kumwambia mufalme.