2 Samuel 14:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoabu akaenda nyumbani kwa Absalomu akamwuliza, “Kwa nini watumishi wako wamechoma moto shamba langu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Yoabu akaenda nyumbani mwa Absalomu, akamwambia, “Kwa nini watumishi wako wametia moto shamba langu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo akaondoka Yoabu, akamwendea Absalomu nyumbani kwake, akamwambia, Kwa nini watumishi wako wamelitia moto shamba langu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoabu akaenda nyumbani kwa Absalomu akamwuliza, “Kwa nini watumishi wako wamechoma moto shamba langu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Yoabu akaenda nyumbani kwa Absalomu, akamwambia, “Kwa nini watumishi wako wametia moto shamba langu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Yoabu akaenda nyumbani kwa Absalomu, akamwambia, “Kwa nini watumishi wako wametia moto shamba langu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo akaondoka Yoabu, akamwendea Absalomu nyumbani kwake, akamwambia, Kwa nini watumishi wako wamelitia moto shamba langu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoabu akaenda nyumbani kwa Absalomu akamwuliza, “Kwa nini watumishi wako wamechoma moto shamba langu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yoabu alipoondoka, akaja kwa Abisalomu nyumbani kwake, akamwuliza: Mbona watumishi wako wamelichoma shamba langu moto?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo akaondoka Yoabu, akamwendea Absalomu nyumbani kwake, akamwambia, Kwa nini watumishi wako wamelitia moto shamba langu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoabu akaenda kwa Abusaloma akamwuliza: “Kwa nini watumishi wako wamechoma shamba langu?”