2 Samuel 14:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme akamwambia, “Una shida gani?” Yule mwanamke akajibu, “Nasikitika, mimi ni mjane, mume wangu amekufa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme akamuuliza, “Una shida gani?” Akamwambia, “Mimi ni mjane, mume wangu amekufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme akamwuliza, Una nini? Naye akajibu, Hakika ni mjane mimi, niliyefiwa na mume wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme akamwambia, “Una shida gani?” Yule mwanamke akajibu, “Nasikitika, mimi ni mjane, mume wangu amekufa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme akamwuliza, “Una shida gani?” Akamwambia, “Mimi ni mjane hasa, mume wangu amekufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme akamuuliza, “Una shida gani?” Akamwambia, “Mimi ni mjane hasa, mume wangu amekufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme akamwuliza, Una nini? Naye akajibu, Hakika ni mjane mimi, niliyefiwa na mume wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme akamwambia, “Una shida gani?” Yule mwanamke akajibu, “Nasikitika, mimi ni mjane, mume wangu amekufa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme alipomwuliza: Una nini? akasema: Mimi ni mwanamke mjane kweli, maana mume wangu amekufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme akamwuliza, Una nini? Naye akajibu, Hakika ni mjane mimi, niliyefiwa na mume wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme akamwambia: “Una shida gani?” Yule mwanamuke akajibu: “Ninasikitika, mimi ni mujane, mume wangu amekufa.