2 Samuel 14:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilikuwa na watoto wa kiume wawili. Siku moja, walipokuwa mbugani, walianza kugombana. Kwa vile hapakuwa na mtu yeyote wa kuwaamua, mmoja akampiga mwenzake, akamuua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mimi mtumishi wako nilikuwa na wana wawili. Wakapigana wao kwa wao huko shambani wala huko hapakuwa na mtu hata mmoja wa kuwatenganisha. Mmoja akampiga mwenzake na kumuua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami mjakazi wako nalikuwa na wana wawili, na hao wawili wakashindana uwandani, wala hapakuwa na mtu wa kuwaamua, lakini mmoja akampiga mwenzake, akamwua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilikuwa na watoto wa kiume wawili. Siku moja, walipokuwa mbugani, walianza kugombana. Kwa vile hapakuwa na mtu yeyote wa kuwaamua, mmoja akampiga mwenzake, akamuua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mimi mtumishi wako nilikuwa na wana wawili. Wakapigana wao kwa wao huko shambani wala huko hapakuwa na mtu hata mmoja wa kuwaamua. Mmoja akampiga mwenzake na kumwua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mimi mtumishi wako nilikuwa na wana wawili. Wakapigana wao kwa wao huko shambani wala huko hapakuwa na mtu hata mmoja wa kuwaamua. Mmoja akampiga mwenzake na kumuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami mjakazi wako nilikuwa na wana wawili, na hao wawili wakashindana uwandani, wala hapakuwa na mtu wa kuwaamua, lakini mmoja akampiga mwenzake, akamwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilikuwa na watoto wa kiume wawili. Siku moja, walipokuwa mbugani, walianza kugombana. Kwa vile hapakuwa na mtu yeyote wa kuwaamua, mmoja akampiga mwenzake, akamuua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena kijakazi wako alikuwa na wana wawili wa kiume, nao wakagombana shambani; kwa kuwa hakuwako aliyewaamua, mmoja akampiga ndugu yake, mpaka akamwua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami mjakazi wako nalikuwa na wana wawili, na hao wawili wakashindana uwandani, wala hapakuwa na mtu wa kuwaamua, lakini mmoja akampiga mwenzake, akamwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nilikuwa na watoto wanaume wawili. Siku moja, walipokuwa katika mbuga, walianza kugombana. Kwa vile hakukukuwa mutu yeyote wa kuwaamua, mumoja wao akamwua mwenzake.