2 Samuel 15:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Absalomu alipokwenda huko Hebroni, alikwenda na watu 200 aliowaalika kutoka Yerusalemu, nao walikwenda huko kwa nia njema, wala hawakujua chochote kuhusu mpango wa Absalomu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu mia mbili kutoka Yerusalemu walikuwa wamefuatana na Absalomu. Walikuwa wamealikwa kama wageni nao walienda kwa nia njema, pasipo kujua lolote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu mia mbili walioalikwa wakatoka Yerusalemu pamoja na Absalomu, wakaenda katika ujinga wao wasijue neno lo lote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Absalomu alipokwenda huko Hebroni, alikwenda na watu 200 aliowaalika kutoka Yerusalemu, nao walikwenda huko kwa nia njema, wala hawakujua chochote kuhusu mpango wa Absalomu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu mia mbili kutoka Yerusalemu walikuwa wamefuatana na Absalomu. Walikuwa wamealikwa kama wageni nao walikwenda kwa nia njema, pasipo kujua lo lote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu mia mbili kutoka Yerusalemu walikuwa wamefuatana na Absalomu. Walikuwa wamealikwa kama wageni nao walikwenda kwa nia njema, pasipo kujua lolote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu mia mbili walioalikwa wakatoka Yerusalemu pamoja na Absalomu, wakaenda katika ujinga wao wasijue neno lolote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Absalomu alipokwenda huko Hebroni, alikwenda na watu 200 aliowaalika kutoka Yerusalemu, nao walikwenda huko kwa nia njema, wala hawakujua chochote kuhusu mpango wa Absalomu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pamoja na Abisalomu walikwenda toka Yerusalemu watu 200 walioalikwa naye, waliokwenda pasipo mawazo mabaya yo yote, maana hawakujua neno lo lote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu mia mbili walioalikwa wakatoka Yerusalemu pamoja na Absalomu, wakaenda katika ujinga wao wasijue neno lo lote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abusaloma alipokwenda kule Hebroni, alikwenda na watu mia mbili aliowaalika kutoka Yerusalema, nao walikwenda kule kwa nia njema, wala hawakujua kitu chochote juu ya mupango wa Abusaloma.