2 Samuel 15:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha mfalme akamwambia Sadoki, “Lirudishe sanduku la agano la Mungu mjini. Kama ninakubalika mbele ya Mwenyezi-Mungu, bila shaka atanirudisha na kunijalia kuliona tena sanduku lake na kuyaona maskani yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mfalme akamwambia Sadoki, “Rudisha Sanduku la Mungu mjini. Ikiwa nitapata kibali mbele za Mwenyezi Mungu, atanirudisha, nami nitaliona Sanduku hili tena pamoja na Maskani yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye mfalme akamwambia Sadoki, Rudisha sanduku la Mungu mjini; nikipata kibali machoni pa Bwana atanirudisha, na kunionyesha tena sanduku hili, na maskani yake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha mfalme akamwambia Sadoki, “Lirudishe sanduku la agano la Mungu mjini. Kama ninakubalika mbele ya Mwenyezi-Mungu, bila shaka atanirudisha na kunijalia kuliona tena sanduku lake na kuyaona maskani yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mfalme akamwambia Sadoki, “Rudisha Sanduku la Mungu mjini. Ikiwa nitapata kibali mbele za BWANA, atanirudisha, nami nitaliona Sanduku hili tena pamoja na Maskani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mfalme akamwambia Sadoki, “Rudisha Sanduku la Mungu mjini. Ikiwa nitapata kibali mbele za bwana, atanirudisha, nami nitaliona Sanduku hili tena pamoja na Maskani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mfalme akamwambia Sadoki, Rudisha sanduku la Mungu mjini; nikipata kibali machoni pa BWANA atanirudisha, na kunionesha tena sanduku hili, na maskani yake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha mfalme akamwambia Sadoki, “Lirudishe sanduku la agano la Mungu mjini. Kama ninakubalika mbele ya Mwenyezi-Mungu, bila shaka atanirudisha na kunijalia kuliona tena sanduku lake na kuyaona maskani yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme akamwambia Sadoki: Lirudishe mjini Sanduku la Mungu! Kama nitaona upendeleo machoni pa Bwana, atanirudisha, nipate kuliona tena napo mahali, linapokaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye mfalme akamwambia Sadoki, Rudisha sanduku la Mungu mjini; nikipata kibali machoni pa BWANA atanirudisha, na kunionyesha tena sanduku hili, na maskani yake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha mufalme akamwambia Zadoki: “Urudishe Sanduku la Agano la Mungu katika muji. Kama nimepata kukubaliwa mbele ya Yawe, bila shaka atanirudisha na kunijalia kuliona tena Sanduku lake na kuyaona makao yake.