2 Samuel 15:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nitakuwa nikingojea penye vivuko huku nyikani, mpaka nitakapopata habari kutoka kwako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitasubiri kwenye vivuko katika jangwa hadi neno litakapotoka kwenu kuniarifu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Angalia, mimi nitangoja penye vivuko vya jangwani, hata litakaponifikilia neno la kunipasha habari kutoka kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nitakuwa nikingojea penye vivuko huku nyikani, mpaka nitakapopata habari kutoka kwako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitasubiri kwenye vivuko katika jangwa mpaka neno litakapotoka kwenu kuniarifu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitasubiri kwenye vivuko katika jangwa mpaka neno litakapotoka kwenu kuniarifu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Angalia, mimi nitangoja penye vivuko vya jangwani, hata litakaponifikia neno la kunipasha habari kutoka kwenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nitakuwa nikingojea penye vivuko huku nyikani, mpaka nitakapopata habari kutoka kwako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni, mimi nitakawilia penye mbuga za nyikani, mpaka itafika kwangu habari toka kwenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Angalia, mimi nitangoja penye vivuko vya jangwani, hata litakaponifikilia neno la kunipasha habari kutoka kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini nitakuwa nikingojea penye vivuko huku katika mbuga, mpaka nitakapopata habari kutoka kwako.”