2 Samuel 15:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo Sadoki na Abiathari wakalirudisha sanduku la agano la Mungu mjini Yerusalemu, wakabaki humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Sadoki na Abiathari wakarudisha Sanduku la Mungu hadi Yerusalemu na kukaa huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Sadoki na Abiathari wakalichukua sanduku la Mungu, wakalirudisha Yerusalemu; wakakaa huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo Sadoki na Abiathari wakalirudisha sanduku la agano la Mungu mjini Yerusalemu, wakabaki humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Sadoki na Abiathari wakarudisha Sanduku la Mungu mpaka Yerusalemu na kukaa huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Sadoki na Abiathari wakarudisha Sanduku la Mungu mpaka Yerusalemu na kukaa huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Sadoki na Abiathari wakalichukua sanduku la Mungu, wakalirudisha Yerusalemu; wakakaa huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo Sadoki na Abiathari wakalirudisha sanduku la agano la Mungu mjini Yerusalemu, wakabaki humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo Sadoki na Abiatari wakalirudisha Sanduku la Mungu Yerusalemu, wakakaa huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Sadoki na Abiathari wakalichukua sanduku la Mungu, wakalirudisha Yerusalemu; wakakaa huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo Zadoki na Abiatari wakalirudisha Sanduku la Agano la Mungu Yerusalema, wakabaki humo.