2 Samuel 16:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huenda Mwenyezi-Mungu akaangalia uovu wangu, naye akanilipa wema kwa laana hii ninayopata leo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Inawezekana kwamba Mwenyezi Mungu ataona dhiki yangu na kunilipa mema kwa ajili ya laana ninayopokea leo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Labda Bwana atayaangalia mabaya yaliyonipata, naye Bwana atanilipa mema kwa sababu ya kunilaani kwake leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huenda Mwenyezi-Mungu akaangalia uovu wangu, naye akanilipa wema kwa laana hii ninayopata leo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Inawezekana kwamba BWANA ataona dhiki yangu na kunilipa mema kwa ajili ya laana ninayopokea leo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Inawezekana kwamba bwana ataona dhiki yangu na kunilipa mema kwa ajili ya laana ninayopokea leo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Labda BWANA atayaangalia mabaya yaliyonipata, naye BWANA atanilipa mema kwa sababu ya kunilaani kwake leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huenda Mwenyezi-Mungu akaangalia uovu wangu, naye akanilipa wema kwa laana hii ninayopata leo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Labda Bwana atautazama ukiwa wangu, yeye Bwana anirudishie mema kwa hivyo, huyu anavyonitukana leo hivi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Labda BWANA atayaangalia mabaya yaliyonipata, naye BWANA atanilipa mema kwa sababu ya kunilaani kwake leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Labda Yawe ataangalia mateso yangu, naye atanilipa wema kwa laana hii ninayopata leo.”