2 Samuel 16:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, Absalomu na watu wote wa Israeli wakaenda mjini Yerusalemu na Ahithofeli pamoja nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo, Absalomu pamoja na wanaume wote wa Israeli wakafika Yerusalemu, naye Ahithofeli alikuwa pamoja naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Absalomu, na hao watu wote wa Israeli, wakafika Yerusalemu, naye Ahithofeli alikuwa pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, Absalomu na watu wote wa Israeli wakaenda mjini Yerusalemu na Ahithofeli pamoja nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo, Absalomu pamoja na watu wote wa Israeli wakafika Yerusalemu, naye Ahithofeli alikuwa pamoja naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo, Absalomu pamoja na watu wote wa Israeli wakafika Yerusalemu, naye Ahithofeli alikuwa pamoja naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Absalomu, na hao watu wote wa Israeli, wakafika Yerusalemu, naye Ahithofeli alikuwa pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, Absalomu na watu wote wa Israeli wakaenda mjini Yerusalemu na Ahithofeli pamoja nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abisalomu na Waisiraeli wote walipoingia Yerusalemu, Ahitofeli alikuwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Absalomu, na hao watu wote wa Israeli, wakafika Yerusalemu, naye Ahithofeli alikuwa pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule, Abusaloma na watu wote wa Israeli wakaenda Yerusalema na Ahitofeli akiwa pamoja nao.