2 Samuel 16:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Absalomu akamwuliza Hushai, “Je, huu ndio uaminifu wako kwa rafiki yako Daudi? Mbona hukuenda pamoja na rafiki yako?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Absalomu akamuuliza Hushai, “Je, huu ndio upendo unaomwonesha rafiki yako? Kwa nini hukufuatana na rafiki yako?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Absalomu akamwambia Hushai, Je! Huu ndio wema wako kwa rafiki yako? Mbona hukutoka pamoja na rafiki yako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Absalomu akamwuliza Hushai, “Je, huu ndio uaminifu wako kwa rafiki yako Daudi? Mbona hukuenda pamoja na rafiki yako?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Absalomu akamwuliza Hushai, “Je, huu ndio upendo unaomwonyesha rafiki yako? Kwa nini hukufuatana na rafiki yako?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Absalomu akamuuliza Hushai, “Je, huu ndio upendo unaomwonyesha rafiki yako? Kwa nini hukufuatana na rafiki yako?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Absalomu akamwambia Hushai, Je! Huu ndio wema wako kwa rafiki yako? Mbona hukutoka pamoja na rafiki yako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Absalomu akamwuliza Hushai, “Je, huu ndio uaminifu wako kwa rafiki yako Daudi? Mbona hukuenda pamoja na rafiki yako?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Abisalomu akamwuliza Husai: Huu ndio welekevu, unaomfanyizia rafiki yako? Mbona hukuenda pamoja na rafiki yako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Absalomu akamwambia Hushai, Je! Huu ndio wema wako kwa rafiki yako? Mbona hukutoka pamoja na rafiki yako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abusaloma akamwuliza Husayi: “Huu ndio uaminifu wako kwa rafiki yako Daudi? Mbona haukuenda pamoja na rafiki yako?”