2 Samuel 16:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hushai akamjibu, “La! Maana yule ambaye amechaguliwa na Mwenyezi-Mungu, watu hawa na watu wote wa Israeli, huyo ndiye, mimi nitakuwa wake yeye, na nitabaki naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hushai akamwambia Absalomu, “La hasha! Yeye aliyechaguliwa na Mwenyezi Mungu, aliyechaguliwa na watu hawa, atakayechaguliwa tena na wanaume wote wa Israeli, huyu ndiye nitakayekuwa wake, nami nitabakia pamoja naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hushai akamwambia Absalomu, La, sivyo; lakini yule Bwana aliyemchagua, na watu hawa, na watu wote wa Israeli, mimi nitakuwa wake, na pamoja naye nitakaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hushai akamjibu, “La! Maana yule ambaye amechaguliwa na Mwenyezi-Mungu, watu hawa na watu wote wa Israeli, huyo ndiye, mimi nitakuwa wake yeye, na nitabaki naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hushai akamwambia Absalomu, “La hasha, yeye aliyechaguliwa na BWANA, aliyechaguliwa na watu hawa, atakayechaguliwa tena na watu wote wa Israeli, huyu ndiye nitakayekuwa wake, nami nitabakia pamoja naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hushai akamwambia Absalomu, “La hasha, yeye aliyechaguliwa na bwana, aliyechaguliwa na watu hawa, atakayechaguliwa tena na watu wote wa Israeli, huyu ndiye nitakayekuwa wake, nami nitabakia pamoja naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hushai akamwambia Absalomu, La, sivyo; lakini yule aliyechaguliwa na BWANA, na watu hawa, na watu wote wa Israeli, mimi nitakuwa wake, na pamoja naye nitakaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hushai akamjibu, “La! Maana yule ambaye amechaguliwa na Mwenyezi-Mungu, watu hawa na watu wote wa Israeli, huyo ndiye, mimi nitakuwa wake yeye, na nitabaki naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Husai akamwambia Abisalomu: Sivyo! Ila yule, Bwana aliyemchagua na watu hawa wote na waume wote wa Waisiraeli, basi, nami ni mtu wake, nikae naye!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hushai akamwambia Absalomu, La, sivyo; lakini yule BWANA aliyemchagua, na watu hawa, na watu wote wa Israeli, mimi nitakuwa wake, na pamoja naye nitakaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Husayi akamujibu: “Hapana! Maana yule ambaye amechaguliwa na Yawe, watu hawa na watu wote wa Israeli, mimi nitakuwa wake, na nitabaki naye.