2 Samuel 17:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwanamke mwenye nyumba hiyo akachukua kifuniko na kukifunika kisima hicho, halafu akaanika nafaka juu ya kifuniko. Habari hizo hazikujulikana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkewe akachukua kifuniko, akakiweka juu ya mdomo wa kile kisima na kuanika nafaka juu yake. Hakuna mtu yeyote aliyefahamu chochote kuhusu jambo hilo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mwanamke akatwaa kifuniko akakiweka juu ya mdomo wa kile kisima, akaanika ngano iliyotwangwa juu yake; wala halikujulikana neno lo lote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwanamke mwenye nyumba hiyo akachukua kifuniko na kukifunika kisima hicho, halafu akaanika nafaka juu ya kifuniko. Habari hizo hazikujulikana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkewe akachukua mfuniko, akauweka kwenye mdomo wa kile kisima na kuanika nafaka juu yake. Wala hakuna mtu ye yote aliyefahamu cho chote kuhusu jambo hili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkewe akachukua kifuniko, akakiweka kwenye mdomo wa kile kisima na kuanika nafaka juu yake. Hakuna mtu yeyote aliyefahamu chochote kuhusu jambo hilo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mwanamke akatwaa kifuniko akakiweka juu ya mdomo wa kile kisima, akaanika ngano iliyotwangwa juu yake; wala halikujulikana neno lolote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwanamke mwenye nyumba hiyo akachukua kifuniko na kukifunika kisima hicho, halafu akaanika nafaka juu ya kifuniko. Habari hizo hazikujulikana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mwanamke akachukua blanketi, akalitanda juu ya kisima hicho, akaanika humo ngano zilizotwangwa, lisijulikane neno lo lote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mwanamke akatwaa kifuniko akakiweka juu ya mdomo wa kile kisima, akaanika ngano iliyotwangwa juu yake; wala halikujulikana neno lo lote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwanamuke mwenye nyumba hiyo akatwaa kifuniko na kukifunika kisima hicho, halafu akaanika ngano juu ya kifuniko. Habari hizo hazikujulikana.