2 Samuel 17:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Daudi akaenda Mahanaimu. Absalomu akavuka mto Yordani na watu wote wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akaenda Mahanaimu, naye Absalomu akavuka Yordani pamoja na wanaume wote wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akaja Mahanaimu. Naye Absalomu akauvuka Yordani yeye na watu wote wa Israeli pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Daudi akaenda Mahanaimu. Absalomu akavuka mto Yordani na watu wote wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akaenda Mahanaimu, naye Absalomu akavuka Yordani pamoja na watu wote wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akaenda Mahanaimu, naye Absalomu akavuka Yordani pamoja na watu wote wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akaja Mahanaimu. Naye Absalomu akauvuka Yordani yeye na watu wote wa Israeli pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Daudi akaenda Mahanaimu. Absalomu akavuka mto Yordani na watu wote wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi alipofika Mahanaimu, ndipo, Abisalomu alipouvuka Yordani, yeye na watu wote wa Waisiraeli pamoja naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akaja Mahanaimu. Naye Absalomu akauvuka Yordani yeye na watu wote wa Israeli pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Daudi akaenda Mahanaimu. Abusaloma akavuka muto Yordani na watu wote wa Israeli.