2 Samuel 17:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Absalomu pamoja na watu wa Israeli walipiga kambi yao katika nchi ya Gileadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli na Absalomu wakapiga kambi huko nchi ya Gileadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Israeli na Absalomu wakapiga kambi katika nchi ya Gileadi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Absalomu pamoja na watu wa Israeli walipiga kambi yao katika nchi ya Gileadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli na Absalomu wakapiga kambi huko nchi ya Gileadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli na Absalomu wakapiga kambi huko nchi ya Gileadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Israeli na Absalomu wakapiga kambi katika nchi ya Gileadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Absalomu pamoja na watu wa Israeli walipiga kambi yao katika nchi ya Gileadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waisiraeli na Abisalomu wakapiga makambi katika nchi ya Gileadi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Israeli na Absalomu wakapiga kambi katika nchi ya Gileadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abusaloma pamoja na watu wa Israeli walipiga kambi yao katika inchi ya Gileadi.