2 Samuel 17:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alipowasili Mahanaimu, Shobi mwana wa Nahashi Mwamoni, kutoka mji wa Raba; Makiri mwana wa Amieli kutoka mji wa Lo-debari, pamoja na Barzilai Mgileadi kutoka mji wa Rogelimu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi alipofika Mahanaimu, Shobi mwana wa Nahashi kutoka Raba ya Waamoni, Makiri mwana wa Amieli kutoka Lo-Debari, na Barzilai Mgileadi kutoka Rogelimu
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, Daudi alipofika Mahanaimu, Shobi, mwana wa Nahashi wa Raba, wa wana wa Amoni, na Makiri, mwana wa Amieli wa Lo-debari, na Barzilai, Mgileadi wa Rogelimu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alipowasili Mahanaimu, Shobi mwana wa Nahashi Mwamoni, kutoka mji wa Raba; Makiri mwana wa Amieli kutoka mji wa Lo-debari, pamoja na Barzilai Mgileadi kutoka mji wa Rogelimu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi alipofika Mahanaimu, Shobi mwana wa Nahashi kutoka Raba ya Waamoni, Makiri mwana wa Amieli kutoka Lo-Debari, na Barzilai, Mgileadi kutoka Rogelimu
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi alipofika Mahanaimu, Shobi mwana wa Nahashi kutoka Raba ya Waamoni, Makiri mwana wa Amieli kutoka Lo-Debari, na Barzilai Mgileadi kutoka Rogelimu
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, Daudi alipofika Mahanaimu, Shobi, mwana wa Nahashi wa Raba, wa wana wa Amoni, na Makiri, mwana wa Amieli wa Lo-debari, na Barzilai, Mgileadi wa Rogelimu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alipowasili Mahanaimu, Shobi mwana wa Nahashi Mwamoni, kutoka mji wa Raba; Makiri mwana wa Amieli kutoka mji wa Lo-debari, pamoja na Barzilai Mgileadi kutoka mji wa Rogelimu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, Dawidi alipoingia Mahanaimu, ndipo, Sobi, mwana wa Nahasi wa Raba wa wana wa Amoni, na Makiri, mwana wa Amieli wa Lo-Debari, na Mgileadi Barzilai wa Roglimu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, Daudi alipofika Mahanaimu, Shobi, mwana wa Nahashi wa Raba, wa wana wa Amoni, na Makiri, mwana wa Amieli wa Lo-debari, na Barzilai, Mgileadi wa Rogelimu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi alipofika Mahanaimu, alikutwa na Sobi mwana wa Nahasi wa muji wa Raba katika inchi ya Amoni, Makiri mwana wa Amieli wa muji wa Lodebari, pamoja na Barzilayi wa muji wa Rogelimu katika inchi ya Gileadi. Hawa watu waliona kwamba Daudi na watu wake walikuwa na njaa, walikuwa wanachoka na walikuwa na kiu kwa sababu ya kusafiri katika jangwa. Basi, waliwapelekea vitanda, mabeseni, vyombo vya udongo, ngano, shayiri, unga, mihindi yenye kukaangwa, kunde na manjegere, asali, siagi, kondoo na maziwa kutoka nyama wao wa kufugwa.