2 Samuel 17:28 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
walipeleka vitanda, mabirika, vyombo vya udongo, ngano, shayiri, unga, bisi, kunde na dengu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakaleta matandiko ya kitanda, mabakuli na vyombo vya mfinyanzi. Walileta pia ngano na shayiri, unga na bisi, maharagwe na kunde,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakaleta magodoro, na mabakuli, na vyungu, na ngano, na shayiri, na unga, na bisi, na kunde, na dengu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
walipeleka vitanda, mabirika, vyombo vya udongo, ngano, shayiri, unga, bisi, kunde na dengu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakaleta matandiko ya kitandani, mabakuli na vyombo vya mfinyanzi. Walileta pia ngano na shayiri, unga na bisi, maharagwe na kunde,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakaleta matandiko ya kitandani, mabakuli na vyombo vya mfinyanzi. Walileta pia ngano na shayiri, unga na bisi, maharagwe na kunde,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakaleta magodoro, na mabakuli, na vyungu, na ngano, na shayiri, na unga, na bisi, na kunde, na dengu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
walipeleka vitanda, mabirika, vyombo vya udongo, ngano, shayiri, unga, bisi, kunde na dengu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
walipoleta vitanda na mabakuli na vyombo vya udongo na ngano na mawele na unga na bisi na kunde na mbaazi na bisi za mchele,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)