2 Samuel 17:29 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
asali, siagi, kondoo na jibini kutoka mifugo yao kwa ajili ya Daudi pamoja na watu aliokuwa nao. Maana walisema, “Watu hawa wana njaa, wamechoka na wana kiu kwa ajili ya kusafiri jangwani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
asali na maziwa yaliyoganda, kondoo na jibini kutoka maziwa ya ng’ombe kwa ajili ya Daudi na watu wake ili wale. Kwa maana walisema, “Watu wameona njaa, tena wamechoka na wamepata kiu huko jangwani.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na asali, na siagi, na kondoo, na samli ya ng'ombe, wapate kula Daudi na watu waliokuwa pamoja naye; kwani walisema, Watu hao waona njaa, tena wamechoka, nao wana kiu huku nyikani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
asali, siagi, kondoo na jibini kutoka mifugo yao kwa ajili ya Daudi pamoja na watu aliokuwa nao. Maana walisema, “Watu hawa wana njaa, wamechoka na wana kiu kwa ajili ya kusafiri jangwani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
asali na maziwa yaliyoganda, kondoo na jibini kutoka kwenye maziwa ya ng'ombe kwa ajili ya Daudi na watu wake ili wale. Kwa maana walisema, “Watu wameona njaa, tena wamechoka na wamepata kiu huko jangwani.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
asali na maziwa yaliyoganda, kondoo na jibini kutoka kwenye maziwa ya ng’ombe kwa ajili ya Daudi na watu wake ili wale. Kwa maana walisema, “Watu wameona njaa, tena wamechoka na wamepata kiu huko jangwani.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na asali, na siagi, na kondoo, na samli ya ng'ombe, wapate kula Daudi na watu waliokuwa pamoja naye; kwani walisema, Watu hao wanaona njaa, tena wamechoka, nao wana kiu huku nyikani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
asali, siagi, kondoo na jibini kutoka mifugo yao kwa ajili ya Daudi pamoja na watu aliokuwa nao. Maana walisema, “Watu hawa wana njaa, wamechoka na wana kiu kwa ajili ya kusafiri jangwani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na asali na siagi na mbuzi na kondoo na maziwa mabivu ya ng'ombe, wakampelekea Dawidi na watu waliokuwa naye, wayale, kwani walisema: Watu hawa wana njaa, tena wamechoka kwa kupatwa na kiu za nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na asali, na siagi, na kondoo, na samli ya ng’ombe, wapate kula Daudi na watu waliokuwa pamoja naye; kwani walisema, Watu hao waona njaa, tena wamechoka, nao wana kiu huku nyikani.