2 Samuel 17:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kuwarudisha watu wengine wote kwako kama bibiarusi anavyokwenda nyumbani kwa mumewe. Wewe unayatafuta maisha ya mtu mmoja tu; na watu wengine watakuwa na amani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kuwarudisha watu wote kwako. Kifo cha mtu yule unayemtafuta kitamaanisha kurudi kwa wote, hakuna hata mtu mmoja atakayeumizwa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na hao watu wote nitawarejeza kwako; mtu yule umtafutaye ni kana kwamba wamerudi wote; na hivyo watu wote watakuwa katika amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kuwarudisha watu wengine wote kwako kama bibiarusi anavyokwenda nyumbani kwa mumewe. Wewe unayatafuta maisha ya mtu mmoja tu; na watu wengine watakuwa na amani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kuwarudisha watu wote kwako. Kifo cha mtu yule unayemtafuta kitamaanisha kurudi kwa wote, hakuna hata mtu mmoja atakayeumizwa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kuwarudisha watu wote kwako. Kifo cha mtu yule unayemtafuta kitamaanisha kurudi kwa wote, hakuna hata mtu mmoja atakayeumizwa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na hao watu wote nitawarejesha kwako; kama bibi harusi anavyorudi nyumbani kwa mumewe. Kurudi kwa yule mtu umtafutaye ni kama kurudi kwa wote; maana watu wote watakuwa katika amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kuwarudisha watu wengine wote kwako kama bibiarusi anavyokwenda nyumbani kwa mumewe. Wewe unayatafuta maisha ya mtu mmoja tu; na watu wengine watakuwa na amani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha nitawarudisha watu wote kwako; hao watu wote, unaowatafuta wewe, watakaporudi, basi, huu ukoo wote mzima utakaa na kutengemana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na hao watu wote nitawarejeza kwako; mtu yule umtafutaye ni kana kwamba wamerudi wote; na hivyo watu wote watakuwa katika amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kuwarudisha watu wengine wote kwako kama bibi arusi anavyorudi katika nyumba ya mume wake. Wewe unayatafuta maisha ya mutu mumoja tu na watu wengine watakuwa na amani.”