2 Samuel 17:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauri hilo la Ahithofeli lilimpendeza Absalomu na wazee wote wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpango huu ulionekana mzuri kwa Absalomu na kwa wazee wote wa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Shauri hili likawa jema machoni pa Absalomu, na machoni pa wazee wote wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauri hilo la Ahithofeli lilimpendeza Absalomu na wazee wote wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpango huu ulionekana mzuri kwa Absalomu na kwa wazee wote wa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpango huu ulionekana mzuri kwa Absalomu na kwa wazee wote wa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Shauri hili likawa jema machoni pa Absalomu, na machoni pa wazee wote wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauri hilo la Ahithofeli lilimpendeza Absalomu na wazee wote wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno hili likanyoka machoni pake Abisalomu napo machoni pao wazee wote wa Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Shauri hili likawa jema machoni pa Absalomu, na machoni pa wazee wote wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Shauri hilo la Ahitofeli lilimupendeza Abusaloma na wazee wote wa Israeli.