2 Samuel 17:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, Absalomu akasema, “Mwiteni Hushai pia, yule mtu wa Arki, tusikie analotaka kusema.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Absalomu akasema, “Pia mwiteni Hushai, Mwarki, ili tuweze kusikia anachokisema.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Absalomu akasema, Basi, mwiteni Hushai, Mwarki, naye, tukasikie atakayosema yeye pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, Absalomu akasema, “Mwiteni Hushai pia, yule mtu wa Arki, tusikie analotaka kusema.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Absalomu akasema, “Pia mwiteni Hushai, Mwarki, ili tuweze kusikia anachokisema.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Absalomu akasema, “Pia mwiteni Hushai, Mwariki, ili tuweze kusikia anachokisema.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Absalomu akasema, Basi, mwiteni Hushai, Mwarki, naye, tukasikie atakayosema yeye pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, Absalomu akasema, “Mwiteni Hushai pia, yule mtu wa Arki, tusikie analotaka kusema.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Abisalomu akasema: Mwite naye Mwarki Husai, tuyasikie nayo yaliyomo kinywani mwake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Absalomu akasema, Basi, mwiteni Hushai, Mwarki, naye, tukasikie atakayosema yeye pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Abusaloma akasema: “Mumwite Husayi vilevile, yule mutu wa inchi ya Arki, tusikie neno analotaka kusema.”