2 Samuel 18:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi aliwahesabu watu waliokuwa pamoja naye, akawagawanya katika vikosi vya maelfu chini ya makamanda wao; na vikosi vya mamia, navyo chini ya makamanda wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akakusanya watu aliokuwa nao, na kuteua juu yao majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Daudi akawahesabu watu waliokuwa pamoja naye, akaweka maakida wa elfu elfu, na maakida wa mia mia juu yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi aliwahesabu watu waliokuwa pamoja naye, akawagawanya katika vikosi vya maelfu chini ya makamanda wao; na vikosi vya mamia, navyo chini ya makamanda wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akakusanya watu aliokuwa nao na kuweka majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akakusanya watu aliokuwa nao na kuweka majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Daudi akawahesabu watu waliokuwa pamoja naye, akaweka makamanda wa maelfu, na makamanda wa mamia juu yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi aliwahesabu watu waliokuwa pamoja naye, akawagawanya katika vikosi vya maelfu chini ya makamanda wao; na vikosi vya mamia, navyo chini ya makamanda wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akawakagua watu waliokuwa naye, akawawekea wakuu wa maelfu na wakuu wa mamia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Daudi akawahesabu watu waliokuwa pamoja naye, akaweka maakida wa elfu elfu, na maakida wa mia mia juu yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi aliwahesabu watu waliokuwa pamoja naye, akawagawanya katika vikundi vya maelfu chini ya majemadari wao na kuweka wakubwa kwa kuwaongoza; na vikundi vya mamia, navyo vikiongozwa na wakubwa wao.