2 Samuel 18:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu fulani aliyeona tukio hilo, akamwambia Yoabu, “Nimemwona Absalomu akininginia kwenye mwaloni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu mmoja alipoona hivyo, akamwambia Yoabu, “Nimemwona Absalomu akining’inia kwenye mwaloni.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mtu mmoja akaona hayo, akaenda akamwambia Yoabu, akasema, Tazama, mimi nalimwona Absalomu ametundikwa katika mwaloni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu fulani aliyeona tukio hilo, akamwambia Yoabu, “Nimemwona Absalomu akining'inia kwenye mwaloni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mmojawapo wa wale watu alipoona, akamwambia Yoabu, “Nimemwona Absalomu akining'inia kwenye mti wa mwaloni.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mmojawapo wa wale watu alipoona, akamwambia Yoabu, “Nimemwona Absalomu akining’inia kwenye mti wa mwaloni.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mtu mmoja akaona hayo, akaenda akamwambia Yoabu, akasema, Tazama, mimi nilimwona Absalomu ametundikwa katika mwaloni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu fulani aliyeona tukio hilo, akamwambia Yoabu, “Nimemwona Absalomu akininginia kwenye mwaloni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu mmoja aliyeviona akampasha Yoabu habari akisema: Tazama, nimemwona Abisalomu, alivyoangikwa mkwajuni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mtu mmoja akaona hayo, akaenda akamwambia Yoabu, akasema, Tazama, mimi nalimwona Absalomu ametundikwa katika mwaloni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu mumoja aliyeona tukio hilo, akamwambia Yoabu: “Nimemwona Abusaloma akilembelea kwenye muti wa mwalo.”