2 Samuel 18:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa upande mwingine, kama ningemtendea kwa hila (na hakuna lolote linalofichika kwa mfalme) wewe mwenyewe ungeniruka.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami kama ningekuwa nimemtendea kwa hila, na hakuna lolote linalofichika kwa mfalme, wewe mwenyewe ungejitenga nami.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tena, kama ningaliitendea roho yake kwa hila; (wala hapana neno lo lote liwezalo kufichwa mbele ya mfalme); ndipo wewe mwenyewe ungalijitenga.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa upande mwingine, kama ningemtendea kwa hila (na hakuna lolote linalofichika kwa mfalme) wewe mwenyewe ungeniruka.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami kama ningekuwa nimemtendea kwa hila, na hakuna lo lote linalofichika kwa mfalme, wewe mwenyewe ungejitenga nami.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami kama ningekuwa nimemtendea kwa hila, na hakuna lolote linalofichika kwa mfalme, wewe mwenyewe ungejitenga nami.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tena, kama ningaliitendea roho yake kwa hila; (wala hapana neno lolote liwezalo kufichwa mbele ya mfalme); ndipo wewe mwenyewe ungalijitenga.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa upande mwingine, kama ningemtendea kwa hila (na hakuna lolote linalofichika kwa mfalme) wewe mwenyewe ungeniruka.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ningaliipotoa roho yake, jambo hilo lote halingalifichikana kwa mfalme, nawe wewe ungaliniinukia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tena, kama ningaliitendea roho yake kwa hila; (wala hapana neno lo lote liwezalo kufichwa mbele ya mfalme); ndipo wewe mwenyewe ungalijitenga.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa upande mwingine, kama ningemutendea kwa udanganyifu, hakuna lolote linalofichwa kwa mufalme. Wewe mwenyewe haungalinitetea.”