2 Samuel 18:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, vijana kumi waliombebea silaha Yoabu, wakaja kumzunguka Absalomu, wakampiga na kumwua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao wabeba silaha kumi wa Yoabu wakamzunguka Absalomu, wakampiga na kumuua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha vijana kumi, waliomchukulia Yoabu silaha zake wakamzunguka, wakampiga Absalomu, na kumwua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, vijana kumi waliombebea silaha Yoabu, wakaja kumzunguka Absalomu, wakampiga na kumwua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao wabeba silaha kumi wa Yoabu wakamzunguka Absalomu, wakampiga na kumwua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao wabeba silaha kumi wa Yoabu wakamzunguka Absalomu, wakampiga na kumuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha vijana kumi, waliomchukulia Yoabu silaha zake wakamzunguka, wakampiga Absalomu, na kumwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, vijana kumi waliombebea silaha Yoabu, wakaja kumzunguka Absalomu, wakampiga na kumwua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha vijana kumi waliomchukulia Yoabu mata wakamzunguka Abisalomu, wakamaliza kumwua kwa kumpiga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha vijana kumi, waliomchukulia Yoabu silaha zake wakamzunguka, wakampiga Absalomu, na kumwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, vijana kumi waliomubebea Yoabu silaha, wakakuja kumuzunguka Abusaloma, wakamupiga na kumwua.