2 Samuel 18:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo Yoabu akapiga tarumbeta na wanajeshi wote wakarudi kuwafuatia watu wa Israeli, kwani Yoabu aliwakataza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yoabu akapiga tarumbeta, navyo vikosi vikaacha kuwafuata Israeli, kwa maana Yoabu aliwasimamisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Yoabu akapiga tarumbeta, wakarudi watu toka kuwafuatia Israeli; kwani Yoabu akawazuia watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo Yoabu akapiga tarumbeta na wanajeshi wote wakarudi kuwafuatia watu wa Israeli, kwani Yoabu aliwakataza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yaobu akapiga tarumbeta, navyo vikosi vikaacha kuwafuata Israeli, kwa maana Yoabu aliwasimamisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yoabu akapiga tarumbeta, navyo vikosi vikaacha kuwafuata Israeli, kwa maana Yoabu aliwasimamisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Yoabu akapiga tarumbeta, wakarudi watu toka kuwafuatia Israeli; kwani Yoabu akawazuia watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo Yoabu akapiga tarumbeta na wanajeshi wote wakarudi kuwafuatia watu wa Israeli, kwani Yoabu aliwakataza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Yoabu akapiga baragumu; ndipo, watu waliporudi wakiacha kuwakimbiza Waisiraeli, kwani ndivyo, Yoabu alivyowazuia watu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Yoabu akapiga tarumbeta, wakarudi watu toka kuwafuatia Israeli; kwani Yoabu akawazuia watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yoabu akapiga baragumu na waaskari wote wakaacha kuwafuatilia watu wa Israeli, maana Yoabu aliwakataza.