2 Samuel 18:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ahimaasi akamwambia, “Haidhuru; nitakimbia.” Basi, Yoabu akamwambia, “Haya, kimbia.” Kisha Ahimaasi akakimbia akifuata njia ya nyikani akawahi kumpita yule Mkushi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahimaasi akasema, “Liwalo na liwe, nataka kukimbia.” Kwa hiyo Yoabu akamwambia, “Haya, kimbia!” Ndipo Ahimaasi akakimbia kufuata njia ya kupitia tambarare, akafika kabla ya huyo Mkushi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Haidhuru, nitapiga mbio. Akamwambia, Haya, piga mbio. Ndipo Ahimaasi akapiga mbio, akishika njia ya uwandani, akampita yule Mkushi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahimaasi akamwambia, “Haidhuru; nitakimbia.” Basi, Yoabu akamwambia, “Haya, kimbia.” Kisha Ahimaasi akakimbia akifuata njia ya nyikani akawahi kumpita yule Mkushi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ahimaasi akasema, “Liwalo na liwe, nataka kukimbia.” Kwa hiyo Yaobu akamwambia, “Haya, kimbia!” Ndipo Ahimaasi akakimbia kufuata njia ya kupitia tambarare, akafika kabla ya huyo Mkushi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ahimaasi akasema, “Liwalo na liwe, nataka kukimbia.” Kwa hiyo Yoabu akamwambia, “Haya, kimbia!” Ndipo Ahimaasi akakimbia kufuata njia ya kupitia tambarare, akafika kabla ya huyo Mkushi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Haidhuru, nitapiga mbio. Akamwambia, Haya, piga mbio. Ndipo Ahimaasi akapiga mbio, akishika njia ya uwandani, akampita yule Mkushi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ahimaasi akamwambia, “Haidhuru; nitakimbia.” Basi, Yoabu akamwambia, “Haya, kimbia.” Kisha Ahimaasi akakimbia akifuata njia ya nyikani akawahi kumpita yule Mkushi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akajibu: Haidhuru, nitakwenda nami na kupiga mbio. Akamwambia: Haya!, Ndipo, Ahimasi alipopiga mbio na kushika njia ya nchi ya tambarare; ndivyo, alivyompita yule Mnubi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Haidhuru, nitapiga mbio. Akamwambia, Haya, piga mbio. Ndipo Ahimaasi akapiga mbio, akishika njia ya uwandani, akampita yule Mkushi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ahimasi akamwambia: “Si kitu; nitakimbia.” Yoabu akamwambia: “Basi, kimbia.” Kisha Ahimasi akakimbia akifuata njia ya mbuga, akamutangulia yule Mwetiopia.