2 Samuel 18:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo mlinzi akapaza sauti akamwambia mfalme. Mfalme akasema, “Kama yuko peke yake, lazima ana habari.” Yule mtu akazidi kukaribia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mlinzi akampazia mfalme sauti na kumpa taarifa. Mfalme akasema, “Ikiwa yuko peke yake, lazima atakuwa na habari njema.” Naye yule mtu akazidi kusogea karibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mlinzi akalia, akamwambia mfalme. Naye mfalme akasema, Kama yu peke yake, ana habari kinywani mwake. Akaja mbio, akakaribia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo mlinzi akapaza sauti akamwambia mfalme. Mfalme akasema, “Kama yuko peke yake, lazima ana habari.” Yule mtu akazidi kukaribia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mlinzi akampazia mfalme sauti na kumpa taarifa. Mfalme akasema, “Ikiwa yuko peke yake, lazima atakuwa na habari njema.” Naye yule mtu akazidi kusogea karibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mlinzi akampazia mfalme sauti na kumpa taarifa. Mfalme akasema, “Ikiwa yuko peke yake, lazima atakuwa na habari njema.” Naye yule mtu akazidi kusogea karibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mlinzi akapaaza sauti, akamwambia mfalme. Naye mfalme akasema, Kama yuko peke yake, ana habari kinywani mwake. Akaja mbio, akakaribia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo mlinzi akapaza sauti akamwambia mfalme. Mfalme akasema, “Kama yuko peke yake, lazima ana habari.” Yule mtu akazidi kukaribia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mlinzi alipoita, akampasha mfalme habari hizo; naye mfalme akasema: Kama yuko peke yake, basi, kinywani mwake umo utume mwema. Huyu alipofika karibu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mlinzi akalia, akamwambia mfalme. Naye mfalme akasema, Kama yu peke yake, ana habari kinywani mwake. Akaja mbio, akakaribia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huyo mulinzi akasema kwa sauti, akamwambia mufalme. Mufalme akasema: “Kama yuko peke yake, ni kusema ana habari.” Yule mutu akazidi kukaribia.