2 Samuel 18:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme akasema, “Kaa kando, na usimame hapo.” Basi, Ahimaasi akaenda kando na kusimama kimya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme akasema, “Simama kando na usubiri hapa.” Basi akasogea kando na kusimama hapo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye mfalme akasema, Geuka, usimame hapa. Akageuka, akasimama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme akasema, “Kaa kando, na usimame hapo.” Basi, Ahimaasi akaenda kando na kusimama kimya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme akasema, “Simama kando na usubiri hapa.” Basi akasogea kando na kusimama hapo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme akasema, “Simama kando na usubiri hapa.” Basi akasogea kando na kusimama hapo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mfalme akasema, Geuka, usimame hapa. Akageuka, akasimama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme akasema, “Kaa kando, na usimame hapo.” Basi, Ahimaasi akaenda kando na kusimama kimya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme akamwambia: Zunguka, uje kusimama hapa! Naye akazunguka, akasimama hapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye mfalme akasema, Geuka, usimame hapa. Akageuka, akasimama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme akasema: “Kaa pembeni, na usimame pale.” Basi, Ahimasi akaenda pembeni na kusimama kimya.